Napenda kukitunza chumba changu kiwe safi, EPUB eBook

Napenda kukitunza chumba changu kiwe safi EPUB

Illustrated by Shelley Admont

EPUB

  • Information

Description

Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. Wanajifunza kufanya kazi kwa pamoja, kukisafisha chumba chao, na kuvipanga vijidude vyao.
Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na inaweza kuwa ya kufurahisha kwa familia nzima pia!

Information

Other Formats

Save 20%

£4.58

£3.66

Information