Ninapenda kula matunda na mboga : Kiswahili, EPUB eBook

Ninapenda kula matunda na mboga : Kiswahili EPUB

Illustrated by Shelley Admont

EPUB

  • Information

Description

Jimmy, sungura mdogo, anapenda kula peremende. Anajipenyeza jikoni kutafuta begi lenye peremende lililokuwa limefichwa ndani ya kabati. Nini kinatokea baada ya Jimmy kupanda juu ili kufikia mfuko wa peremende? Utajua unaposoma kitabu hiki cha watoto lenye michoro. Tangu siku hiyo, anaanza kustawisha mazoea ya kula vizuri na hata anapenda kula matunda na mboga zake

Information

Save 20%

£4.58

£3.66

Information